Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

80ded6041174bbc56fdf46164ad84164.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua siku mbili Tatu hizi
Tunapishana sana mbunge
Mkuu mimi nimetolewa bungeni baada ya kuwakilisha hoja kuntu kabisa

Kwahivyo niko nje sababu Bunge la kuongozwa na SHIMBA YA BUYENZE la upendeleo siwezi

Kwa ajili hiyo nitarudi hali ikitamalaki hapo

Endelea kugundua mambo zaidi na uwe na mchana mwema!
 
Jamani
Mbona kila mtu kivyake humu!
Hamna mtu anaye muongoza mwingine kwenye uzi huu my dear
Hebu rudi mpendwa
We are free kwenye uzi HUU mpendwa
Stress free zone
Upendo tu!
Welcome back home!
 
Back
Top Bottom