IndeedNimeona Uzi mmoja wanasema sana lakini sisi ni mwendo mdundo likes likes
Mkuu mimi nimetolewa bungeni baada ya kuwakilisha hoja kuntu kabisaNimegundua siku mbili Tatu hizi
Tunapishana sana mbunge
Am glad nimekufanya ucheke my lady, stay blessed.Hahaah
Kazi kweli kweliMkuu mimi nimetolewa bungeni baada ya kuwakilisha hoja kuntu kabisa
Kwahivyo niko nje sababu Bunge la kuongozwa na SHIMBA YA BUYENZE la upendeleo siwezi
Kwa ajili hiyo nitarudi hali ikitamalaki hapo
Endelea kugundua mambo zaidi na uwe na mchana mwema!
Be blessed tooAm glad nimekufanya ucheke my lady, stay blessed.
Cole
World
Kama ujapata notification yangu naomba upost post hata 1000 peke yako
Mimi nitalike (keeping this thing Alive is one of my duty)
CoLe
World
JamaniMkuu mimi nimetolewa bungeni baada ya kuwakilisha hoja kuntu kabisa
Kwahivyo niko nje sababu Bunge la kuongozwa na SHIMBA YA BUYENZE la upendeleo siwezi
Kwa ajili hiyo nitarudi hali ikitamalaki hapo
Endelea kugundua mambo zaidi na uwe na mchana mwema!
IndeedSina Habari na wakali wa JF waliotoka,
Humu ndo nyumbani tutakapo dumu mpaka mwisho