babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
AsanteeeKaribu bibie pata likes
AsanteeeKaribu bibie pata likes
Pokea likesPata likes
Asante nawe piaPokea likes
jamani wenzenu tunakula aargh
Mkuu kwemaPokea likes
2000+hivi kwa ujinga huu, mtu anaweza niambia amevuna like ngapi?
Mamaa mwenye jina kubwaAsante nawe pia
Mwenye nyota ya kupendwa usisahau hilo...Mamaa mwenye jina kubwa
Ndio mkuu wa kitengo cha likeThe chosen one
Huyu so shoga. Ni mwanamieleka hatariii. Anaitwa Reymastereo kama umewahi msikia. Sema ana sura ya kike na anavaaga mask muda wote so mashabiki wake hawamjui.Kwa kweli sijalike, nachukia tabia ya ushoga, ishindwe kabisa katika jina la Yesu
Huu mchuzi wa sangara kwa ugali wa muhogo unavimbiwaNapenda chukuchuku lkn hii huo mchuzi wenye rangi ya tope veepe