IndeedYes. In reality hakuna mwisho. Hata wanasayansi wanakiri kuwa hawajui universe hii itaisha lini na muda kukoma. So far mahali pekee panapojulikana kuwa hakuna muda ni kwenye black hole [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mkondo wa maji,ni suala la kuutengenezea njia tuAnza na bwawa
Maana kama utajenga utaitaji maji
Vuna maji ya mvua!
Nzuri,za wewe?Habarini za majukumu
OkAnatania tu. Huwa namtania kuwa ni mbunge wa Kiembesamaki na mimi huwa najifanya spika wa bunge. Akiuliza maswali magumu au asipofuata sheria za bunge namtoa ukumbini. Tunacheka basi yanaishia hapo. Na mara ya mwisho kumtimua bungeni ni karibu wiki tatu zimepita. Ghazwat, what's going on?
The power of number 2the number 2 is the only number greater than zero that when added to or multiplied by itself gives you the same result (4)
DuhKuna mkondo wa maji,ni suala la kuutengenezea njia tu