Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Anatania tu. Huwa namtania kuwa ni mbunge wa Kiembesamaki na mimi huwa najifanya spika wa bunge. Akiuliza maswali magumu au asipofuata sheria za bunge namtoa ukumbini. Tunacheka basi yanaishia hapo. Na mara ya mwisho kumtimua bungeni ni karibu wiki tatu zimepita. Ghazwat, what's going on?Jamani
Mbona kila mtu kivyake humu!
Hamna mtu anaye muongoza mwingine kwenye uzi huu my dear
Hebu rudi mpendwa
We are free kwenye uzi HUU mpendwa
Stress free zone
Upendo tu!
Welcome back home!