andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mungu hujibu maombi,muda wote.Yeye ni Mungu asiye lala...muite ataitika,muombe atakupa tena kwa wakati.Naamini hivyo maana hajawahi nitendea tofauti na maombi yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na iwe kama unenavyo
Walahi!