Mungu hujibu maombi,muda wote.Yeye ni Mungu asiye lala...muite ataitika,muombe atakupa tena kwa wakati.Naamini hivyo maana hajawahi nitendea tofauti na maombi yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na iwe kama unenavyo
Walahi!
YupI miss you dada with your new avatar.
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
Haujasoma maandiko? Mpende jirani yako....Nashangaa huyu kajuaje khs safari yako.
Kweli kabisaTwende pamoja kwa kukabiliana na kila hali. "The hard way is the only way" kama unataka kushinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AMUN RAMungu hujibu maombi,muda wote.Yeye ni Mungu asiye lala...muite ataitika,muombe atakupa tena kwa wakati.Naamini hivyo maana hajawahi nitendea tofauti na maombi yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Indeed my dear brotherMungu hujibu maombi,muda wote.Yeye ni Mungu asiye lala...muite ataitika,muombe atakupa tena kwa wakati.Naamini hivyo maana hajawahi nitendea tofauti na maombi yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahaHaujasoma maandiko? Mpende jirani yako....
Mmmmh we mwanaume umeanza kujificha kwenye kichaka cha bible eti?Haujasoma maandiko? Mpende jirani yako....