Mark Msue
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,293
- 12,249
Usisite kuja Pm kabla hujarudi ili nikuhesabie ili usipate shida...Acha niende ntakuja badae na kihesabio
Usisite kuja Pm kabla hujarudi ili nikuhesabie ili usipate shida...Acha niende ntakuja badae na kihesabio
Kule kwingine badala ya kupewa like unaambulia limtusi lisilo na heshima. Unaishia tu kuwa msomaji comments za wenzio.Kuna watu nawajua walikua na like 63 ila saiv naona miujiza imewatembelea wamefkisha like 1000 na uchafu huko
Njema kiongozi. Haya, tuendelee na utaratibu wetu wa likeHabari yako
Kwa sababu ww ni prissss test hii Umepata 100/100Kwa 1)aliyeitoa na 2) aliyeipokea kuna ka 3)feelings haha
Asikwambie mtu unaniumizawatu mmepunguza kutoa likes
Hakuna kitu sikipend dunian kama MTU kujifanya yy ni msaf na wenzie wakikosea anawatukanaKule kwingine badala ya kupewa like unaambulia limtusi lisilo na heshima. Unaishia tu kuwa msomaji comments za wenzio.
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Hahahaaaa, JF ni chuo cha uraiani. Ukiweza kuishi vizuri na familia ya Jf hakuna atakae kusumbua mtaani.Hakuna kitu sikipend dunian kama MTU kujifanya yy ni msaf na wenzie wakikosea anawatukana
Pole bro kwa mitusi ulopewa
haaaaaaaaa kwaiyo sisi tulienda veta kwaajili ya izo noah imekula kwetu? kweli makinikia haijawahi kumuacha mtu salamaStop dreaming broda...