The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Javier MASCHERANO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Iwapo unaweza kujiwekea sh milion 2 kwa siku kila siku unaweza kumnunua Neyma baada ya miaka 720*
[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
barca wana mchukua huyo
Itategemeana na PSG kushinda mataji na yeye Kuchaguliwa kuwa the best FIFA player awardeeNeymar kajipoteza kwenye ulimwengu wa Soccer,sometimes money is not everything.
Itategemeana na mafanikio ya PSG uwanjaniNeymar atatumika zaidi kibiashara kuliko kimpira! Matajiri wamemwaga mamilioni yao kwakuhitaji sura yake na sio miguu yake.