Carbamazepine kila siku Analala na mimi na jana tuli lala woteAu ulionana na Carba? Manake umepotea tangu jana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kulala wote sio sababu, je km alienda mchana?Carbamazepine kila siku Analala na mimi na jana tuli lala wote
Amna Aina ya mwanamke kama my love carbamazepine wapo wachache Tanzania na Duniani koteKulala wote sio sababu, je km alienda mchana?
Ngoja nicheke tuAmna Aina ya mwanamke kama my love carbamazepine wapo wachache Tanzania na Duniani kote
Yeye ananipenda mimi na analala na mimi Tu.
Matatizo yako hayo na Mzee mwenzio hakuna namna tunaweza kukusaidia labda uende kwa gwajima akamuombee mzee huyoKulala wote sio sababu, je km alienda mchana?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeh usidhani yameisha
Unachungulia eeeh?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]nimechoka kuonewa bhanaSio tabia yako hiyo carba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na utacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nicheke tu