mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Usonge mbele HahahahahaWadau Shwari?
Mmwenye MWIKO anisaidie nataka NISONGE MBELE
Usonge mbele HahahahahaWadau Shwari?
Mmwenye MWIKO anisaidie nataka NISONGE MBELE
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji121]Niko naye hapa unataka kuongea nae??[emoji23][emoji23][emoji23]
Ninadondosha nondo mida hii pokea like
Swafi sana nawe je
Rubii niko peke yangu kuna mwingine kajitokeza?[emoji1]Hivi kuna rubi wangapi humu?
The one and only
Anatisha sanaMzee wa busara huko vizuri kwenye Word playing
HahahaWALEVI WAWILI KATIKA MAZUNGUMZO YAO;
MLEVI 1 "Hivi rafiki yangu china ni mbali kweli?"
MLEVI 2 "Sidhani mbona pale kazini kuna mchina anakuja na baiskeli kila siku?"
Chemical formula yetuToa likes pata likes
Tunaendelea mwendo ule ule.
Nshazoea ile avatar