mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Du*Iwapo unaweza kujiwekea sh milion 2 kwa siku kila siku unaweza kumnunua Neyma baada ya miaka 720*
[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
Ni kweli France lilikuwa sio chaguo sahihiNeymar kajipoteza kwenye ulimwengu wa Soccer,sometimes money is not everything.
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna kisa kimoja cha Sir Newton
Alikwenda bank akasahau jina lake nani mpka baadaye akaja mtu na kumsalimia How are sir Newton ndio akakumbuka