mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Habari za asbh Rukwa
Hahaha ngoma ipi1.Mwanafunzi ana ngoma
-Tungo tata
Hahaha2. Kichwa Kichafu amekwenda Kibiti.
-Tungo hatarishi
AMUN RA6:44
AMUN RA
Kwa usawa wa uncle huu3. Umepokea kiasi cha sh.1,000,000 kiwango chako cha Mpesa ni sh 1,500,000
-Tungo tamanishi
Hahahahaha5. Uniq kaokota Dola elfu kumi Mtaa wa Kongo
-Tungo ndoto
Atakuwa alikuwa anamuwahi andjulMbona mapema hivyo mama?..
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
MorningGOOD MORNING TANZANIA
Good morning my QueenGOOD MORNING TANZANIA
Du7. mwanafunzi unayetembea naye kakwambia hazioni siku zake[emoji42]
-Tungo shtushi