RECPE SAFI KABISA NA UMUHIMU WA CAROTI KATIKA MWILI WAKO
Kwanza kabisa ina rangi safi sana ya chungwa, yenye mvuto kwa mlaji, pia utamu wa carrot unakwenda sambamba na mchanganyiko wa viazi ulaya, celery na saffron. Umuhimu ni virutubisho ndani ya mwili, Inaongeza hamu ya kula, ubora wa macho kuona vizuri na afya ya mwili kwa ujumla – Huu ndio ubora wake supu ya caroti tutayojifunza jinsi ya kuiandaa.