Hii inakuwa na maana kwamba,unaweza usipigiwe siu siku nzima na mtu wako,lakini badala ya wewe kuuliza kulikoni wala hata huna habari na huoni kama ni tatizo,au unaweza kumuona mtu wako yupo na mt mwingine lakini hata muda huna,hii huwa inatafsiriwa kuwa huna hisia na mhusika wako
Ni kweli kwamba inaleta raha sana kujua kwamba mwenzako anakufikiria lakini ni kwa kiwango gani unataka kujua au ni kwa namna gani unataka kujua hili