Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
E302
Ndio maisha yetu
Great kwa kweli
Numbisa asante sana kwa tips za afyaKINGA DHIDI YA KANSA YA TUMBO….
Faida nyingine inayoweza kupatikana kwenye
mwili kutokana na ulaji wa karanga, ni kinga dhidi
ya ugonjwa wa saratani ya tumbo.
Mheshimiwa Rutashubanyuma, nimemiss Mashairi yako Siku nyingi sijayaona.