moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Amegombana na mumewe anajifanya kujileta kwangu, ni heri wamalizane wenyeweWanajuana hawa. Wakati mwingine wanandoa ni kuwaacha peke yao.
Haijalishi uko Na wangapi
Bali wangapi Upo nao
Huo ndiyo utata, unaweza hamia mozambigue7. mwanafunzi unayetembea naye kakwambia hazioni siku zake[emoji42]
-Tungo shtushi
Jamaa anajitahidi kupost lakini likes zake hazionekani popote,Asante sana ila tunaomba likes zako mkuu. Inasemekana eti hujawahi kutoa likes hata moja katika uzi huu.![]()