uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
HahahhaKuku na jogoo nani ndege.mi nahisi jogoo ndio kuku
HahahhaKuku na jogoo nani ndege.mi nahisi jogoo ndio kuku
Ipo tunaendelea kula likesMi siniliambiwaga kuwa hii thread itafutwa imekuaje tena????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimetoa mimacho ili nione tarehe kumbe hata wewe umeiokota. Habari ya kazi mkuu
Mkuu unajua kutoa like aiseee. Mimi peke yangu ushanipa kama 50 hivi
Subiro tulipwe trillion zetuMshahara ni mdogo
Ndiyo hivyo bado tunapeta, mods wenyewe wapo humu ndani na majina ya siri, chezea like wewe, haiwezi kumuacha mtu salamaMi siniliambiwaga kuwa hii thread itafutwa imekuaje tena????
Hahaha labda anahesabu na message's piaWacha uongo, mpaka hapa una like 700+ only
Haifutwi hii mbele kwa mbele! Pata likesMi siniliambiwaga kuwa hii thread itafutwa imekuaje tena????
Akili zako unazijuaga mwenyewe[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahahha
Hizo tuNawashukuru member wote wa JF (na wale wa kundi la Makapuku) kupitia thread hii, mmeweza kunipaisha kutoka like 800 mpaka 1000. Mungu awape afya njema wote..
Asanteni sana...
kiswahili chakeHuman eyes see more shades of green!
Nawashukuru member wote wa JF (na wale wa kundi la Makapuku) kupitia thread hii, mmeweza kunipaisha kutoka like 800 mpaka 1000. Mungu awape afya njema wote..
Asanteni sana...
DuuAkili zako unazijuaga mwenyewe[emoji13] [emoji13] [emoji13]
AMUN RASubiro tulipwe trillion zetu
Tuko pamojaThank you