[emoji23][emoji23][emoji23]huo ni ubunifu wa hali ya juu kwakwelMarketing hiyo shemeji. Kama siyo nguvu za kiume angalau kukata kiuno. Si ajabu zimeshagombaniwa tayari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli tatizo ni kuwa na matumain makubwa so akiambiwa kashindwa ugomvi unaanzia hapoKila mshindani hutegemea kushinda. Atakubali matokeo, ambayo si ajabu tayari yanajulikana?
Mzee wa kuamsha dude[emoji23][emoji23]
Duh!!!... Mimi 1.Kyl 2.Tky.3.Tmk...(mikoroshini,keko,mombo,boko,njinjo,sokota,...) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawayuuuni huko ushuani.Ila kokubichi tumeenda sana kuogelea japo tulikuwa tunaenda kwa mguu via Mhimbili chini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ok
Mimi nimekaa Mindu st.
Baadae
Nimekulia Sea View
Baharini
Nimekaa Mindu only one year
Baharini ikaniita
Sea view
Hizi picha shimba zimezagaa kwenye social media za tz balaa jamaa anacheza na media vizuri
Ana biashara zake huyu. Ndiyo maana wanamshuku kuwa ni muuza ngada. Sadaka pekee hazitoshi kununulia Gulfstream kama hii hata kama ni mkweche!Mmmh sadaka zetu
YeuwiiDuh!!!... Mimi 1.Kyl 2.Tky.3.Tmk...(mikoroshini,keko,mombo,boko,njinjo,sokota,...) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawayuuuni huko ushuani.Ila kokubichi tumeenda sana kuogelea japo tulikuwa tunaenda kwa mguu via Mhimbili chini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
DAB anatamani iwe yake
Kwa kweli. Jana nilimkuta kule, nikamwita na namshukuru alikuja.We miss her
Karudi kivingine. Dini ni biashara ya amani sana. Bila kodi. Bila bughudha!Mzee wa kuamsha dude[emoji23][emoji23]