MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,595
- 3,460
hrjdhshshbFflhvfk
wa kubet wanaelewaLeo jumatatu wanasema wiki hii utapishana kauli sasa kesho wanakuja na nyingine hii ni wiki bora sana kwako,sasa leo j3 mnaniambia wiki hii nitapishana kauli halaf kesho j4 mnanimbia wiki hii ni bora sana kwngu,khaaaaaa aseeh aliewaloga kashazikwa kwa kwel
Nzuri kabisa maana nimerudi salama kwenye kiota. Endelea kutuletea taarifa, ila ile ya mwenzetu Mzee Yusuph niliifuatilia na kuvaa viatu vyake, aisee!!Hahaha u made my evening.
Nzuri kabisa,za wewe?
Hahahah saa nyingine picha zinaumbua kweliHuyo jamaaa wa pili toka kushoto sijui alikua anaongea nini maana huo mdomo hatari...
Nzuri kabisa maana nimerudi salama kwenye kiota. Endelea kutuletea taarifa, ila ile ya mwenzetu Mzee Yusuph niliifuatilia na kuvaa viatu vyake, aisee!!
Mwendo umekuwa wa kusuasua?Kwa mwendo huu hatutaweza kuwafikia makapuku ndani ya mwezi mmoja
nimeweka like kama 70 kwakoWeka likes upate likes
Mkuu kuna watu wameset automatic. Jana nimepigwa peupeee ya 20kNasubiria post ya 30k
Haha! Mzee wa farasi.By shoo i love you baby
We jamaa sijui umewaza nini[emoji2] [emoji2]*_Lakini Nuhu aliamua tu kutusababishia Malaria ule mda Mbu zilikuwa mbili ndani ya safina si angeziua_*
Papua New GuineaNew Mexico city
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji203]Kule kwenye si hasa. Mkuu usinitege maana bila kupita kule maana yake nianze kununua magazeti. Nilipigwagwa nalo moja hivi, hali nilivyoona inazidi kuwa mbaya ikabidi nimshirikishe wife. Wife akanionyea huku, hata sijui alifikaje huku? (ka [emoji723] kake sikajui)
[emoji2] [emoji2]Hahahah saa nyingine picha zinaumbua kweli
Huko hamna job.. PhD yangu ni ya ukweliBasi komaa