carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kichwa we ni mgomvi[emoji23][emoji23][emoji23]niko tayari kwa ban[emoji23][emoji23][emoji23]usinikumbusheNipo nitakutetea nipo tayari kwa ban ila mtu asikuguse wewe.
Nimenukuu baadhi yq maneno hapo juu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Weweeeee,unakujua polisi??akupitie wapi?muende wapi?kufanya nini??mama angalia nisije kukutengua kiuno ohooo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]Naomba jibapa moja huku tukiwa tunalishusha ndio useme vizuri
Kakijiwe kamechangamka sana leo na wewe ulivyokuja umeongeza furaha humuAsante aiseeh nilimiss sana humu haya mambo
Shida ni yule mumewe[emoji2][emoji2]Mbona nsamaka anania njema na mimi
Nami nimetangaza hali ya hatari si unajua kila shetani na mbuyu wake.Kichwa we ni mgomvi[emoji23][emoji23][emoji23]niko tayari kwa ban[emoji23][emoji23][emoji23]usinikumbushe
Ohoooooo...Wazima humu ndani?
Kumbe me bado mbuyu wako eeh[emoji1][emoji1][emoji1]Nami nimetangaza hali ya hatari si unajua kila shetani na mbuyu wake.
Hashtag nyingi kama unataka kutengeneza website[emoji125] [emoji125] [emoji125][HASHTAG]#carb[/HASHTAG][emoji173]cole#
[HASHTAG]#cole[/HASHTAG]&carb#
Pita kimya tu hahahaha. Andjul akisikia ataniua.Du hii hatari
[emoji124] [emoji124]
Halafu wewe[emoji23][emoji23][emoji23]nsamaka yuleeee kwa moud
YupAsante malkia wa nguvu.
Nafurahi kukuona katika tabasam lako lile lile tena.
Nashukuru kukuta unasamabaza upendo kama kawaida Boss wangMy mental nilikumiss sana
Kichwa umeanza na ww, hupati kumbatoNipo nitakutetea nipo tayari kwa ban ila mtu asikuguse wewe.
Nimenukuu baadhi yq maneno hapo juu.
Kwa sababu???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani kwa upande wangu msichana haipendezi kuwa na kucha ndefu kwakweli
Si ndio hapo,hebu mwambie huyuMbona nsamaka anania njema na mimi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vunjaaaaWeweeeee,unakujua polisi??akupitie wapi?muende wapi?kufanya nini??mama angalia nisije kukutengua kiuno ohooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wewe unakuja mimi naona nitapata dharula kwa kweli naweza nisije. [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yan kama nsamaka anaenda na mimi naja acha nije nisinzie tu