Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Teh teh teh hadi huwa natamani nikuibie hiyo glass maana naona huwa unaona hadi moyo wangu weye[emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona unavyotamani hilo kumbato
Teh teh teh hadi huwa natamani nikuibie hiyo glass maana naona huwa unaona hadi moyo wangu weye[emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona unavyotamani hilo kumbato
Si muda mrefu mtanijua mimi niliitwa hivyo kwa haki kabisaSijui kwa moud?? Ukishayajulia wala haumizi kichwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kichwa kichafuuuuuuuuuuHabari zenu wakuu
andjul njoo uone hukuAchana nae huyo, we njoo upate kumbatio la nguvu hapa la kukuweka sawa huku mjini.
Nipo mamaEeeh kumbe upo?
Na kwako pia mkuuHeshima zenu wakubwa kwa wadogo
[emoji23][emoji23][emoji23]hii siku nilicheka kweli yani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilimuonea huruma sana siku ile![]()
Alivyoaga machozi yalinitoka.Nikahisi nilimuumiza sana kwa utani huu
Nafurahi kusikia hivyo NumbisaHahaha nipo poa kabisa
Kibiti niajeMi ni mzima wa afya tele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] macho yako yanaona mbaliNakuona lkn, ujue nipo
Tatizo huyu maglass na andjul wana wivu tuNamkumbatia kumkaribisha mjini
Sijampa kabisa huyu mutu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena usimpe kbs hiyo zawadi.
nsamaka kila kesi ni yako?Bad news for who? Ina maana mm hunioni?
Teh teh teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilimuonea huruma sana siku ile![]()
Alivyoaga machozi yalinitoka.Nikahisi nilimuumiza sana kwa utani huu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] malori tena???We jamaa ni kiwembe hatari, daa nimeamini kuwa madereva wa malori si watu wazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
carbamazepine inamuuma hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Achana nae huyo, we njoo upate kumbatio la nguvu hapa la kukuweka sawa huku mjini.