Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nimekaribia ndugu yangu.Kichwa Kichafu welcome back
Nimekaribia ndugu yangu.Kichwa Kichafu welcome back
Ndio hivyo, komaa ukizubaa itakula pande yakoKuna muda unaitafuta hela hata kwa njia isiyo sahihi
Na mshindwa hayupo tayari kupokea matokeo.Tatizo chaguzi zetu za Afrika mshindi yupo tayari
[emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona unavyotamani hilo kumbatoMengine siri msije mkajinyonga bure[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi sanaKutesa kwa zamu
Tafuta hiyo nyimbo kwanza[emoji23] [emoji23]
Teh teh teh kumbuka nyani mzee nimekoswa mishale mingi ndugu yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]My Ndugu pia Kuna Mgeni mmoja somebody 19 sijui ajakaribishwa kabisa
Huyu nae mchonhanishi tuNilikuwa sipo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na mimi kwako nimefika kwakweliMimi sijui nikoje mi napendaga sehemu Moja Tu nina uo ugonjwa
Mfuga kuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nani vileeeee?
Kwakweli nilikumithimo chaaaNimekaribia ndugu yangu.
Mkuu Ruta unatisha, nakutana na post zako kama mvua huku nyuma. Tulia nikulambishe likes mpaka uombe pooE399
Acha wivu mama, tulia[emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona unavyotamani hilo kumbato
Andunje?????? [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]andunje????? mzee wa liver kujaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]na huo moyo utoke tu kwakweli mana mwenzio alikuwa anaimba paraboz huku[emoji23][emoji23][emoji23]hadi anaitwa mjaneSijui huyu carbamazepine ana nia gani naona ananirusha moyo.
Hadi mapigo ya mbio yanakwenda moyo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ruta mzee wa mapicha pichaMkuu Ruta unatisha, nakutana na post zako kama mvua huku nyuma. Tulia nikulambishe likes mpaka uombe poo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi huu unamtosha, anayetaka habari za Man U aje hapa atamkutaWe jamaa wanakuulizia kule man utd
huwezi jua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]andunje????? mzee wa liver kujaaaa
Ogopa kitu likes, hazijawahi kumwacha mtu salamaMzee umekimbia jukwaa
huwezi jua
[emoji23][emoji23][emoji23]umepitwa na mengi ujue...kulikuwa na ubuyu 1st class tena high qualityNimekuwa andjul hadi nipende udaku[emoji23] [emoji23] [emoji23]