Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mkuu heshima yako kwanza.Ulipotelea wapi
Mkuu heshima yako kwanza.Ulipotelea wapi
Nasubiri mida mida nikamng'oe msukuma kiulaini[emoji23][emoji23]sema mzee wa kuvizia zizi lako
Usijali na kichwa kichafu alivyo kumiss mpaka amekondaUtanipitia shemeji twende wote
Njema kabisa mkuu RutashubanyumaZa jioni
[emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa tena sio madera ni vijora[emoji23][emoji23]Nasikia chumbani kwako umejaza madela ya sare za kuwasuta mtaani kwenu.
Ila nilikumiss kweliiiiiiiiiii
HahahahahaNaamini Mungu atatusamehe,na nina uhakika atakuwa anatucheka sana huko aliko tunavyo zungusha vichwa kuangalia misambwanda utadhani feni ya mezani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
andjul kuja uone hukuuu[emoji23][emoji23][emoji23]Nieleze tu hivyo hivyo.
Kk styleNaona umeamua kuniletea maandiko dooh....
Tayari mimi nishafanya yangu namtafutia Numbisa tu na yeye sasa sijui atakubali uzi wa ManchesterKama kawaida hapa nipo naisaka jezi ya lukaku OG.
Maana ni hatareeee
Kk styleNaona umeamua kuniletea maandiko dooh....
Weweeeeee muone kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] neish......ni ile ile ooo ni ile ile[emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji444]
Kk styleNaona umeamua kuniletea maandiko dooh....
Najua hiyo siku andjul masikio yake yalisimama kama mbwa wa doria[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umepitwa na mengi ujue...kulikuwa na ubuyu 1st class tena high quality
Na huyo atakaye funga jf naye ahame hapa duniani, maana hatabaki salamaIkitokea JF ikafungwa watu watalia na kuomboleza kwa ajili ya likes zao pamoja na urafiki....
Yani nikikaona karibu na wewe nakatia mahabusu nsamaka atanisaidia[emoji1][emoji1]Jaman babe usikaweke police