Aaaah huo uchokozi sasaMy Ndugu kichwa kichafu fursa hii
An opportunity changamka
Aaaah huo uchokozi sasaMy Ndugu kichwa kichafu fursa hii
An opportunity changamka
Ni shidaaaaaaMkuu,hiyo amri ni ngumu na haitekelezeki kabisa.Nisitamani? amepita mbele yangu,kitu inatetemeka kwa nyuma.Siku ya mwisho sina cha kujitetea kwa kweli![]()
Huyu ni wale wale waliodai kule chato alij......a. Siyo watu wema kwakweli. MPE likes yake, nawe chukua likes yako kisha potezeaUlitakaje kwa mfano
Eeeh kumbe upo?[emoji120] [emoji120] afadhali....
Taratibu lakini....Wow wow kichwa umerudi? Oooh karibu sana maana nilikuwa namekumis sana.
Kichwa njoo nikukumbatie kbsMkumbatie basi tujue[emoji23][emoji23][emoji23]venye umem miss
Jaman babe usikaweke policeI know babe,kukukumbusha tu nna RB yake [emoji1][emoji1]
KabisaMaisha ni mapambano!![]()
Nakuona lkn, ujue nipo[emoji124] [emoji124] [emoji124] tayariiii
Zawadi niliyokuletea ya mayai yamevunjika[emoji23] [emoji23] maana niliweka mifukoni mwq suruali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeh
Teh teh teh teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nicheke kwanza
Uzuri wake sijamtaja jina kuwa ni uniq[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Subiri akija. Cha moto utakiona!
Ndo maana nikasema mjomba sikutafuti leo [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kichwa njoo nikukumbatie kbs
Bad news for who? Ina maana mm hunioni?Ohooooo...bad news
We jamaa ni kiwembe hatari, daa nimeamini kuwa madereva wa malori si watu wazuriMzee wa kuvizia mazizi ya watu
Achana nae, ht mm nipo ntakupa kampani. Siku andjul akienda kwa Carba na mm nakuja kwakoLabda yule nilimuacha anamnyapia nyapia kipindi naondoka ndio kaoa?
GeJo popote ulipo kipenzi changu ukuje huku
Ni utani tu bro ili kuamsha amsha mambo. Hata Carba anajua...
Ka kishua ni kale ulikokasifia siku moja kuwa eti kanakukosha sana na knowledge yake ya football. Kasomi hivi kanapenda sana makwotesheni ya kishua hasa sayansi na misemo tata ya kifalsafa. Please usitaje jina. Tunaburudika tu bro ila kama unakumbuka ulichimbwa mkwara kuwa kama ni kuangalia mpira ni afadhali uende ukaangalie kwa Numbisa na siyo kwa kashua....