Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Maisha ni mapambano!
Love make us stronger broCole Williams...!!!
Sio ile barabara watoto wa shule walipata ajali(Mungu azilaze mahali pema peponi roho zao)? Kama ni ile Ina lamiKwa nini asizitume kwa njia nyingine? Nilisafiri kwenda Mbulu mvua zimenyesha kutoka pale Mto wa Mbu kupanda milima ile tope gari linacheza nikasema aisee sirudii tena huu mchezo aisee. Sijui kama walishaweka lami pale...
Cole worldCole William wewe jina lako libalikiwe, ingawa yule furani toka nyanda za juu kusini anafanya michezo isiyifaa kwa shemeji yetu lakini umepoa tu. Una roho ya kiutu kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini kama mwanamke anaweza kiwa kiongozi shemeji....naomba nisamehewe kwa kauli hiyo...wanawake hawana karama ya uongoziUnamaanisha nini kasoro kuwa kiongozi?
Mkuu hali hii inasumbua sana.Zaidi ya utani mwingi lakini inawezekana kuna njia ya kupunguza ukali wa mapambano haya.Maisha ni mapambano!![]()
Hahahaha[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Ila hata ukimchoka mzee wa liver usijali sana nip....(hata uzeeni maana nina mkataba wa kuzitumia hela zangu kwa miaka 70 ijayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] )
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tutaokolewa kwa neema mkuu. Vinginevyo hali itakuwa tete hasa kwenye hizi dhambi za kimaumbile ambazo unaweza kuzitenda unconsciously. Na misambwanda siku hizi ndo inazidi sasa. Mitaani huko shida tupu. Mtu unatoka home na moyo mweupe kabisa kuwa leo hii kwa neema ya Muumba niepushiwe dhambi ile unakata kona ya kwanza tu from nowhere msambwanda unabingirika kwenye dera utafikiri gravity yote imekusanyika hapo kupambana. Basi unasonya tu na kusema Jesus take the wheel. Tudumu katika maombi ila hali ni ngumu kwenye hili suala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,hiyo amri ni ngumu na haitekelezeki kabisa.Nisitamani? amepita mbele yangu,kitu inatetemeka kwa nyuma.Siku ya mwisho sina cha kujitetea kwa kweli![]()
Pia hawashauriki,wanapenda kujihami sana.Nimefanya kazi na mwanamke kwa miaka saba...nayajua mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siamini kama mwanamke anaweza kiwa kiongozi shemeji....naomba nisamehewe kwa kauli hiyo...wanawake hawana karama ya uongozi