carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Doooh!mtuonee huruma basi japo kidogoWavae tu. Ina raha yake sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Doooh!mtuonee huruma basi japo kidogoWavae tu. Ina raha yake sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo vipi mzee wa Tukuyu? Hata kama uko na waifu anakuangalia itabidi udondoshe hata kalamu makusudi ili upate upenyo wa kulipa jicho haki yake. Kazi kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Hata uwepo kwa wife,lakini akipita mwingine na mzigo lazima uutengenezee mazingira japo kwa kufikiria tu[emoji23] [emoji23] [emoji23].Eee Mungu nipe miaka mingi ya kuishi niweze kushuhudia uumbaji wako huu[emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wala sio suruali.Wewe kwa ubuyu mbayaaaaHio pemben ni surual au?(shetani mbaya badala niangalie bible mie napekua ubuyu mwingine)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wala sio suruali.Wewe kwa ubuyu mbayaaaa
Kiingereza bwana. Kina raha yake aisee...