Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapo vipi mzee wa Tukuyu? Hata kama uko na waifu anakuangalia itabidi udondoshe hata kalamu makusudi ili upate upenyo wa kulipa jicho haki yake. Kazi kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
f2a9fcbece780f2d1c9f6cd5583a7533.jpg
Ni rahisi kuzishinda dhambi zooote isipokuwa hii ya matamanio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa viumbe Mungu ametumia muda mwingi sana kuwaremba.Lazima wapendwe kwa nguvu ya akili na kuwafanyia yote yawapendezayo(japo ni chukizo mbele za Baba yetu wa Mbinguni)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Carb wa Cole wiliam wewe umedhihirisha utoto wa mjini wako hasa unavyompagawisha mzee wa Rungwe, amediriki mpaka kuvunja ndoa yake kwa mashairi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naangalia mchezo unavyoendelea mpaka naingiwa na wasiwasi na kumwonea huruma bwana mdogo Cole. Ajabu naye haonekani hapa. Mzee wa Tukuyu si ajabu kauza mazao yake huko ukijumlisha na hela za uhasibu wa wizara aisee Dar nzima inatikisika. Tena anajigamba eti ana nguvu sana kwa sababu ya vyakula anavyokula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cole popote ulipo bro njoo vinginevyo it will be paraboz time. Au itabidi uhangaike na kale ka kishua japo sidhani kama mko compatible...
 
Ni rahisi kuzishinda dhambi zooote isipokuwa hii ya matamanio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa viumbe Mungu ametumia muda mwingi sana kuwaremba.Lazima wapendwe kwa nguvu ya akili na kuwafanyia yote yawapendezayo(japo ni chukizo mbele za Baba yetu wa Mbinguni)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maandiko huwa yananiacha hoi eti hata ukimwangalia mwanamke kwa jicho la kumtamani tayari umeshazini. Kama uko rijali kabisa na mitestosterone kibao unawezaje kupambana na hali hii? Utawezaje kuona msambwanda wa ukweli ukibiringishwa kwenye kigauni halafu wazo lisikujie? Nilishawahi kuuliza sana swali hili kwenye vipindi vya vijana makanisani na jibu nililoambiwa halikuniridhisha sana japo linaleta ahueni kiroho. Huruma na neema ya Mungu inahitajika kwa kweli vinginevyo...
 
Mkuu,hiyo amri ni ngumu na haitekelezeki kabisa.Nisitamani? amepita mbele yangu,kitu inatetemeka kwa nyuma.
8fa0e8f6a80b0e1060e269a0c606069d.jpg
Siku ya mwisho sina cha kujitetea kwa kweli
 
Mkuu liver ni jina kubwa sana
Kuwa mnyonge hilo haliwezekani life style ya masaki the same with upanga my childhood area
Labda unataka kudig out something
Grew up upanga Maweni st
The same flat with HBC crew
Hard blasters Crew
Professor Jay(Joseph Hauled)
Fanani. (Terry Msiagi)
Big willy. (William)
Na aliyefanya nipende Liverpool
Abass Tarimba
Mnyonge huo msamiati haupo kwenye ubongo Wangu
Hahahahaha
Oyooooooooo
 
Back
Top Bottom