Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tutaokolewa kwa neema mkuu. Vinginevyo hali itakuwa tete hasa kwenye hizi dhambi za kimaumbile ambazo unaweza kuzitenda unconsciously. Na misambwanda siku hizi ndo inazidi sasa. Mitaani huko shida tupu. Mtu unatoka home na moyo mweupe kabisa kuwa leo hii kwa neema ya Muumba niepushiwe dhambi ile unakata kona ya kwanza tu from nowhere msambwanda unabingirika kwenye dera utafikiri gravity yote imekusanyika hapo kupambana. Basi unasonya tu na kusema Jesus take the wheel. Tudumu katika maombi ila hali ni ngumu kwenye hili suala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naamini Mungu atatusamehe,na nina uhakika atakuwa anatucheka sana huko aliko tunavyo zungusha vichwa kuangalia misambwanda utadhani feni ya mezani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
297ccc71b712f5712db30fb18604b001.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23]amen mchungaji
 
Acha wivu hebu muite nsamaka mje kubebishana hapa mana kila siku utasikia oooh kaa mbali na carba,mara naondoka[emoji23][emoji23]ndoa yako inamajanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawaombea(kandoa kavunjike vipande vipande)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom