Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

038006c5e00df32828b331861f11f45f.jpg
Naona umeamua kuniletea maandiko dooh....
 
Naangalia mchezo unavyoendelea mpaka naingiwa na wasiwasi na kumwonea huruma bwana mdogo Cole. Ajabu naye haonekani hapa. Mzee wa Tukuyu si ajabu kauza mazao yake huko ukijumlisha na hela za uhasibu wa wizara aisee Dar nzima inatikisika. Tena anajigamba eti ana nguvu sana kwa sababu ya vyakula anavyokula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cole popote ulipo bro njoo vinginevyo it will be paraboz time. Au itabidi uhangaike na kale ka kishua japo sidhani kama mko compatible...
Doooh shemeji[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]wa kishua tena??[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom