moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mko vizuri kujitetea[emoji23][emoji23][emoji23]misambwanda haitawaacha salamaNaamini Mungu atatusamehe,na nina uhakika atakuwa anatucheka sana huko aliko tunavyo zungusha vichwa kuangalia misambwanda utadhani feni ya mezani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cole Wiliam , wewe ni jembe kwelikweli , hulali, huli chakula kwa sababu umeamua kwa dhati kuwamwagia likes wanauzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari yako kiongozi,karibu sana brotherHabari zenu wakuu
Cole William wewe jina lako libalikiwe, ingawa yule furani toka nyanda za juu kusini anafanya michezo isiyifaa kwa shemeji yetu lakini umepoa tu. Una roho ya kiutu kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
AminaImani yangu wote ni wazima
[emoji23][emoji23][emoji23]Ningependa hili ujibiwe na Goddess ISIS shemeji. Naamini una sababu zako tena nzuri tu. Siku moja nitapenda kuzisikia.
Cole Williams brotherKichwa kichafu
Bro naamini nini mkuu? Kutocheza na wake za watu ama?Broo shimba ya buyenze unaamini hii
Ukifurahi me moyo huku burdaaani kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Je,utakuwa umerudi moja kwa moja?Namshukuru Mungu kwa baraka zake kwa kila mtu kwa kila day
Huyu hapa kapatikana...Mi ni mzima wa afya tele
Mzee mwenyewe habariKichwa kichafu....my brother
Huku kupoa kwangu ni tabia za ndani yangu lakini chachu kubwa inaletwa na carbamazepine love yake kwangu inanifanya niwe Bora akiniacha naweza changanyikiwaCole William wewe jina lako libalikiwe, ingawa yule furani toka nyanda za juu kusini anafanya michezo isiyifaa kwa shemeji yetu lakini umepoa tu. Una roho ya kiutu kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa wakishua weye?Doooh shemeji[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]wa kishua tena??[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23]andjul kuja ujibu hapaMaandiko menyewe haya sijui yametoka kwenye buku gani haya...