carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]yani nimefurahi kweli kama nimeokota hela vile....Nasubiri kuona furaha ya Carba. Karibu KK. Watu walikuwa wamefunga kwa ajili yako. Welcome back kamanda!
[emoji23][emoji23][emoji23]yani nimefurahi kweli kama nimeokota hela vile....Nasubiri kuona furaha ya Carba. Karibu KK. Watu walikuwa wamefunga kwa ajili yako. Welcome back kamanda!
Mi ni mzima bibie.[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]nimefurah kukuona...uhali gani
Wapi GeJo....ila nasikitika kukwambia kuwa kesha olewa[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hapa nimerudi hadi nabaki sema nilipigwa za chembe na majukumu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante nakaribia hadi chumbaniUwiiiiiiiii aiseeh nimefurahi kukuona haina mfano...karibu tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa amenitesa kwa picha yako[emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Shemeji anasifia neema [emoji23][emoji23][emoji23]Ujue broooo we mtu wa makuzi sana unanifurahisha sana
Kutoka kitabu cha SIRA.Huyo mzee achana naye[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andjul kuja ujibu hapa
Nimemuona aiseeh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kichwa umemuona?
Ngoja nikupige kiss la kukumiss zaidi[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Kichwa Kichafu kuja nimekumissssss mimi[emoji22][emoji22]
Kale ka cheri....hivi babe ni kweli aliyosema shemeji hapo?Kakishua kapi hako broo embu nijuze kidogo
Ukweli ni ukweli tu bro hata tukijifanya watakatifu bila huo utakatifu ni kazi bure. Kwa vijana marijali huu bado ni mtihani...Ujue broooo we mtu wa makuzi sana unanifurahisha sana
[emoji23][emoji23][emoji23]acha kunisingiziaTeh teh teh hapo nilikuwa nimekimbiwq na waglass[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilipigana na nsamaka janaMi ni mzima bibie.
Mbona glass yako jicho moja halina kioo. [emoji23] [emoji23]
Kulikoni?
Yea,majukumu ndio sehemu kuu ya maisha yetu.Jambo la kheri umerudi salama.Mkuu hapa nimerudi hadi nabaki sema nilipigwa za chembe na majukumu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu wamefunga magoli mangapi tena.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasubiri kuona furaha ya Carba. Karibu KK. Watu walikuwa wamefunga kwa ajili yako. Welcome back kamanda!
[emoji23][emoji23][emoji23]chumbani hapana karibu hadi varandani ndo mwishoAsante nakaribia hadi chumbani
Ooooh sweet[emoji8]Ngoja nikupige kiss la kukumiss zaidi[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]