moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hapana hii kitu kuwa Hivyo kama mguuBro naamini nini mkuu? Kutocheza na wake za watu ama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kunisingizia
Hata mimi bhana mana nisipokuona kijiwe hakinogi[emoji23][emoji23][emoji23]...karibu Kk karudi umemuonaHahaha ila pamoja na hayo huwa nakumis tu thana.
Uwepo wako unanifanya niyafurahie MaishaUkifurahi me moyo huku burdaaani kabisa
Mimi siwezi kuwa wa kishua kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]na huu mdomo nilionao nauacha wapi??Teh teh teh na alikuchakaza nimeona hapo nyuma umekuwa wakishua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nimekumiss hadi naumwa zaidi[emoji7]Hi guys
Miss you badly hadi naumwa huku
Ni utani tu bro ili kuamsha amsha mambo. Hata Carba anajua...Kakishua kapi hako broo embu nijuze kidogo
[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji10][emoji10][emoji10]Welcome my Ndugu pole na harakati. Karibu Tena sana this is your home.
Humu ndo nyumbani tutakapo dumu mpaka mwisho
CoLe
World
Hapo nimekutwanga na za Sumbawanga.Teh teh teh hapo nilikuwa nimekimbiwq na waglass[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wow wow kichwa umerudi? Oooh karibu sana maana nilikuwa namekumis sana.Mi nimekumiss hadi naumwa zaidi[emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23]ujaacha udaku tu??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh teh teh kwani ulikiwepo
Aseeee.BIFU LA RC MAKONDA X RUGE MUTAHABA KWISHAAA.... NI BAADA YA MH RAISI KUWAPANISHA....HIVYO TEGEMEA KUMUONA MAKONDA KATIKA MEDIA ZOTE KAMA KAWAIDA..... KAMA UMEIPENDA HII COMMENT **OYOOO**