andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ohooooo...bad newsWapi GeJo....ila nasikitika kukwambia kuwa kesha olewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ohooooo...bad newsWapi GeJo....ila nasikitika kukwambia kuwa kesha olewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Am glad babeUwepo wako unanifanya niyafurahie Maisha
Labda yule nilimuacha anamnyapia nyapia kipindi naondoka ndio kaoa?Wapi GeJo....ila nasikitika kukwambia kuwa kesha olewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri akija. Cha moto utakiona![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoto wa shule na mamaake babe S
Same old kichwa kichafuAsante nakaribia hadi chumbani
[emoji23][emoji23][emoji23]mkumbushe nilimchukulia RBNi utani tu bro ili kuamsha amsha mambo. Hata Carba anajua...
Ka kishua ni kale ulikokasifia siku moja kuwa eti kanakukosha sana na knowledge yake ya football. Kasomi hivi kanapenda sana makwotesheni ya kishua hasa sayansi na misemo tata ya kifalsafa. Please usitaje jina. Tunaburudika tu bro ila kama unakumbuka ulichimbwa mkwara kuwa kama ni kuangalia mpira ni afadhali uende ukaangalie kwa Numbisa na siyo kwa kashua....
Sijakuacha tengua kauli haraka[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaah wapi mimi ni yuleyule ulieniacha
[emoji23][emoji23]hii siku sitaisahau...unakumbuja na ile picha ya umedoda??Hapo nimekutwanga na za Sumbawanga.![]()
Hii wa glass kakukimbia na wewe unajificha.
Cole Williams heshima kwakoKuna muda nilipoteza uhimili.Cole na SYB ni timu moja,karibu brother
Mwanaume kuhangaika kwa kweli duh!Hapo nimekutwanga na za Sumbawanga.![]()
Hii wa glass kakukimbia na wewe unajificha.
Mkumbatie basi tujue[emoji23][emoji23][emoji23]venye umem missWow wow kichwa umerudi? Oooh karibu sana maana nilikuwa namekumis sana.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] tayariiiiOoooh sweet[emoji8]
Aaaaaaaaah amna ukweli wowote she is just a footballer fan it's football thing if u know what I meanKale ka cheri....hivi babe ni kweli aliyosema shemeji hapo?
Ugomvi lazima ufike mwisho, tabia ya kuendeleza mabifu ndizo huzalisha vita barani AfrikaDaah!huyu jamaa kachemsha kwakweli
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]usiyempenda kaja.....
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana...tena kaolewa na anamtoto sasahiviLabda yule nilimuacha anamnyapia nyapia kipindi naondoka ndio kaoa?
GeJo popote ulipo kipenzi changu ukuje huku
Mengine siri msije mkajinyonga bure[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkumbatie basi tujue[emoji23][emoji23][emoji23]venye umem miss
Nishamwambia chumbani haingiiSame old kichwa kichafu
My Ndugu utaishia sebleni tu
NmekupataNi utani tu bro ili kuamsha amsha mambo. Hata Carba anajua...