Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapo nimekutwanga na za Sumbawanga.
89c730aa86117b7020970b11a0bd99bb.jpg

Hii wa glass kakukimbia na wewe unajificha.
We acha tu huyu mwenye macho manne huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni rahisi kuzishinda dhambi zooote isipokuwa hii ya matamanio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa viumbe Mungu ametumia muda mwingi sana kuwaremba.Lazima wapendwe kwa nguvu ya akili na kuwafanyia yote yawapendezayo(japo ni chukizo mbele za Baba yetu wa Mbinguni)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni shida
 
Ni utani tu bro ili kuamsha amsha mambo. Hata Carba anajua...

Ka kishua ni kale ulikokasifia siku moja kuwa eti kanakukosha sana na knowledge yake ya football. Kasomi hivi kanapenda sana makwotesheni ya kishua hasa sayansi na misemo tata ya kifalsafa. Please usitaje jina. Tunaburudika tu bro ila kama unakumbuka ulichimbwa mkwara kuwa kama ni kuangalia mpira ni afadhali uende ukaangalie kwa Numbisa na siyo kwa kashua....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] neish......ni ile ile ooo ni ile ile[emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji444]
 
Back
Top Bottom