Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wakuu baadaye kidogo. Malizieni salama Jumamosi hii njema. KK karibu tena mkuu. Uzi huu unakuhitaji sana and you were terribly missed!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]uliyenitelekeza kwa yule mtoto wa kisukuma na akakuacha pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijakuacha tengua kauli haraka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]hii siku sitaisahau...unakumbuja na ile picha ya umedoda??
Ugomvi wa clouds na Makonda ndiyo ulimtenganisha Makonda na media.Huyo huyo...kwani makonda na ruge wanagombania nini hadi wapatanishwe?...anyway niwaachie wenyewe...
Mzima lakini weye?
Haaaaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mayai yakipasuka yanatoa nini???? Coleeeeeee kujaaaaaaSasa unadhani mayai niliyonunua ila nimeweka mfukoni mwa jeans yang nimekuletea zawaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja niangalie kama hayapasuka[emoji23] [emoji23]
Mimi sijui nikoje mi napendaga sehemu Moja Tu nina uo ugonjwa[emoji124] [emoji124] [emoji124] ka chuo sijui kanasomea MD??!!!??!?????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaniona mimi tu,mkeo kamkumbatia KK kabisa hujaona eeh??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] tayariiii
Mkuu unakaba hadi penalt. [emoji23] [emoji23]Same old kichwa kichafu
My Ndugu utaishia sebleni tu
[emoji120] [emoji120] afadhali....Hahaha ila pamoja na hayo huwa nakumis tu thana.
Songa mdogo mdogo mama, uwepo wako ni muhimu sana hapaHii spidi yenu na uzee wangu huu mnaniacha mataa tena wajameni...
I know babe,kukukumbusha tu nna RB yake [emoji1][emoji1]Aaaaaaaaah amna ukweli wowote she is just a footballer fan it's football thing if u know what I mean
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nani vileeeee?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atakuwa anafanya homework ya tuition[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaaaaaaah duuuuuuuuuuh kaale nimekumbka broNi utani tu bro ili kuamsha amsha mambo. Hata Carba anajua...
Ka kishua ni kale ulikokasifia siku moja kuwa eti kanakukosha sana na knowledge yake ya football. Kasomi hivi kanapenda sana makwotesheni ya kishua hasa sayansi na misemo tata ya kifalsafa. Please usitaje jina. Tunaburudika tu bro ila kama unakumbuka ulichimbwa mkwara kuwa kama ni kuangalia mpira ni afadhali uende ukaangalie kwa Numbisa na siyo kwa kashua....
Sijui huyu carbamazepine ana nia gani naona ananirusha moyo.Ohooooo...bad news
Mkuu habari yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]andunje????? mzee wa liver kujaaaaYupo muhenga mmoja hivi anaitwa andunje(andjul)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My Ndugu kichwa kichafu fursa hiiWow wow kichwa umerudi? Oooh karibu sana maana nilikuwa namekumis sana.
Nimekuwa andjul hadi nipende udaku[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujaacha udaku tu??
nsamaka unajua nilikumiss hadi sina maneno ya kuelezea kuwa nilikumissWow wow kichwa umerudi? Oooh karibu sana maana nilikuwa namekumis sana.