Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahaha nani,rais au?Daah!huyu jamaa kachemsha kwakweli
Huyo huyo...kwani makonda na ruge wanagombania nini hadi wapatanishwe?...anyway niwaachie wenyewe...Hahaha nani,rais au?
IndeedNashukuru
Cheers
Mie mzima kabisa,za wewe?Huyo huyo...kwani makonda na ruge wanagombania nini hadi wapatanishwe?...anyway niwaachie wenyewe...
Mzima lakini weye?
My princess hi I'm missing u so much
Karibu tena Cocochannel. You were terribly missed!