mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha carbaKwani ushawahi kuwa konda??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha carbaKwani ushawahi kuwa konda??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu tena Cocochannel. You were terribly missed!Nawasalimu wapendwa.
Mwambie awahi akichelewa atakuta nshaendaHahaa subiri aje kujibu mwenyewe
Mkuu asante kwa taarifa lakini kuna dawa huku kwetuMwanzoni ilikuwa na Cocaine. Madhara ya Cocaine yalipojulikana, waliondoa cocaine na kujaribu kuachana kabisa na matumizi ya mmea wa Coca. Hata hivyo Coca-Cola hiyo mpya haikuwa na ladha na ilisusiwa na wanywaji. Hakukuwa na njia nyingine isipokuwa kuendelea na mmea wa Coca kama malighafi muhimu. Wamejenga kiwanda kule New Jersey ambako majani ya Coca husindikwa na kuondolewa active ingredient yake kuu (Cocaine). Maji yanayobakia ndo hutumika katika utengenezaji na ndiyo huipa Coca-Cola ladha yake bainishi. Wanasema kiasi cha Cocaine kinachobakia ni negligible na hakina madhara kwa mtumiaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aendelee kupata nini???Nirudi nyumbani kufanya nini??? Endelea kupata hamu hivyo hivyo,ikipungua nijulishe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2][emoji2]acha uchochezi
Huyo atakuwa nusu vegetarian na siyo kamili. Hatari sana watu wa nusu nusu!!!Hahahahaha why
Shimba
Poa mkuu
Miss you tu babe S...mzima sijui weweNimekumiss...mzima!?
Hahahahaha sasa tungelipia oxygen ingekuwaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu mji utanishinda kwa kweli. Nimejikuta nimeikumbuka baridi ya kwetu,huku mpaka ujifungie kwenye gari/chumba ndio upate baridi? Baridi nayo inalipiwa?
Nipo kamanda. Ni kukimbizana na majukumu tu. Nipo nipo !!!Mkuu shimba niaje
Hii ni pale unapotumia bangi kama mboga za majan