Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu asante kwa taarifa lakini kuna dawa huku kwetu
MES
Mist Expedient Sediton
Maarufu mkojo wa punda
Dawa ya kikohozi malighafi yake kubwa bangi
Mwanzo sikuamini hili lakini nilipata data chemical formula za hiyo dawa nilichoka kabisa bangi tupu hiyo dawa
Ni nani anayepaswa kushughulika na haya mambo? Shirika la viwango la taifa ama?
 
Screenshot_2017-08-04-19-59-42.png
 
Back
Top Bottom