Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wabongo watasema ni jiniazi na anastahili skolashipu akajifunze ufundi magari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni pale unapotumia bangi kama mboga za majan
Wabongo watasema ni jiniazi na anastahili skolashipu akajifunze ufundi magari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni pale unapotumia bangi kama mboga za majan
Binadamu hutomuweza[emoji6][emoji6]
AMUN RA5:00
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSE is on my side forever
Pesa kila kitu MaishaniBado natafakari uamisho wa Neymer to PSG
Hellow MarkMambow wadau wa likes aka Likers?
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
Asante, mzima kbs ananikeep busy hapa......Nami pia,uniq mzima?
Mji ule umezungukwa na migodi mitatu ndio maana uko juu. Lkn pia ile barabara ya rwanda burudi nayo inaupaisha sana. Bandari ya nchi kavu pia isaka.Kiukweli nilishindwa kuelewa kabisa kahama ni pazuri sana
Kukukeep busy sawa. Mahari keshapata? Au anafikiri sisi tulimlelea na kumsomeshea binti mrembo wa kum-keep busy bure tu?Asante, mzima kbs ananikeep busy hapa......
Mkuu napenda uwepo wa huu Uzi ni sehemu pekee ambayo napata furuha nacheka nafurahi nachangamka yaanimzee wa liver unatenda haki.. hongera
KabisaStory kidogo likes nyingi...twende kazi.