Niibebe kwenye nini??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]ungeibeba kwenye begi ukaweka hakiba....pole ukizoea baridi ukija ukanda huu wa pwani ni shida kwakweli
Kahama pako juu kuliko huku, huku na ndio mkoani lakini pamepoa sana.Dah yaani mji uko kimya
Nilifika kahama naona kumechangamka kuliko shy town
UshindweeeeeAbeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sana tu
We miss u 2I have missed you guys
Our lovely country
HahahahahaWewe ni mgeni kwenye uzi huu?