Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tena vibaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]nenda kauze bhana nije kukurarua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu mji utanishinda kwa kweli. Nimejikuta nimeikumbuka baridi ya kwetu,huku mpaka ujifungie kwenye gari/chumba ndio upate baridi? Baridi nayo inalipiwa?
 
Back
Top Bottom