Nzuri mkuuHabari wa ndugu.
Sijui hata kosa lake huyu cocochanel,ni mpole sana.Ule ni msimamo wake,yafaa aheshimiwe
Mkuu niliwahi kupewa ushauri wa kuwa niwe napata glass ya juice hiyo kila asubuhi, ili kuimarisha afya ya ngozi macho na mifupa. lakini harufu ya chakula hicho imenishindaHahahahaha
Kazi kweli kweliHance mambo niaje mkuu
Wanataka nini laliga
BINADAMU wa ajabui! msamehe bure huyoKumbe bado unanifikiria eeeeeeh
Utajuaje kama mie sio mzima kama wewe hauko hivyo!!!
Jisikitikie... najua kujisechi hata msipo nitag... unashida kwelikweli maishani mwako mfyuuuuuu
😀😀😀Pokea likes kwa kutukumbusha
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app