Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh.

Aisee.

Hamna mdada ambaye namuona ana mambo ya ajabu humu JF kama Cocochanel.

Sidhani kama ni mzima yule kichwani

Kumbe bado unanifikiria eeeeeeh

Utajuaje kama mie sio mzima kama wewe hauko hivyo!!!

Jisikitikie... najua kujisechi hata msipo nitag... unashida kwelikweli maishani mwako mfyuuuuuu
 
Back
Top Bottom