[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa lipi??Wenye wivu wajinyonge kweli[emoji445] [emoji445] ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naomba lifti basiiiii
Muulize yule bibi yko sijui unamuita muhenga eeh huyohuyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa lipi??
I know tulikuwa tunapishanaAm good kwakwel now nimekuona mana i missed you
Kibiti Kazi kweli kweliHv kichwa hajarudi tu jameni?
Keko ipi? Magurumbasi,Bora,Machungwa,Toroli au maduka mawili?Nipitie nikakuonyeshe mji,unakujua keko wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HapatoshiUmekuja wakati mwafaka kabisa shemeji. Kuna ugomvi umefumuka humu na wewe pekee pengine ndiye utasaidia kuamulia.
Andjul anataka akupitie kesho ukamwonyeshe mji hasa anakoweza kupata maembe yale ya chumvi, pweza na mahindi ya pilipili. Mkewe naye kaja juu anataka naye ampitie Cole akamwonyeshe mji.
AMUN RAView attachment 557392 View attachment 557392
Well said
Maana mimi na AMUN RA
Hatuwezi kutengana kamwe!
AMUN RA
HahahahahaKama vile namuona Msigwa na Rwakatare - ha ha haaaaaa !!!
Haya mambo we yaache tu....