Bila shaka huu ujumbe ataupataMwambie nimekataa, km hana mtu mwingine wa kumtembeza basi aache. Sio lazima aone mji.
Umekuja wakati mwafaka kabisa shemeji. Kuna ugomvi umefumuka humu na wewe pekee pengine ndiye utasaidia kuamulia.Nimerudi kuwapa likes hadi sa4
Sitaki, km hivyo mwambie carba humtaki tena.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo vipi mama,habari ya majukumu
Ushindweee kwa jina la nani hii yule....eehee huyo huyo toka pepo....kwendraaaaaHaturuhusu mambo ya AMUN RA wala imani yo yote bungeni. Serikali yetu haina dini. Akianza mambo ya AMUN RA kuna wabunge wachungaji si ajabu watakurupuka na kuanza kukemea. Bunge litageuka sehemu ya miujiza na kupimana nguvu za Kiungu. Hili kamwe hatutaliruhusu!
Tena aupate ASAPBila shaka huu ujumbe ataupata
Huo mpango wao na andjul nimeshakataa mm. Andjul ukienda ujue talaka moja itakufuata huko huko.Umekuja wakati mwafaka kabisa shemeji. Kuna ugomvi umefumuka humu na wewe pekee pengine ndiye utasaidia kuamulia.
Andjul anataka akupitie kesho ukamwonyeshe mji hasa anakoweza kupata maembe yale ya chumvi, pweza na mahindi ya pilipili. Mkewe naye kaja juu anataka naye ampitie Cole akamwonyeshe mji.
Well saidHaturuhusu mambo ya AMUN RA wala imani yo yote bungeni. Serikali yetu haina dini. Akianza mambo ya AMUN RA kuna wabunge wachungaji si ajabu watakurupuka na kuanza kukemea. Bunge litageuka sehemu ya miujiza na kupimana nguvu za Kiungu. Hili kamwe hatutaliruhusu!
Hapa ni furaha tu ingawa mh unaonekana kwa nadra kijijini.Baada ya pole mkuu moudgulf Je furaha ilioje kuwa hapa Kijiji cha Comments na Likes
Carba anamchanganya sana nsamaka wangu,sio kama tunagombana ila nikutahadharisha tuVipi tena? Wanandoa mnagombana hadharani? Nini kinaendelea hapa wapendwa?
Mara hii umekuwa baba mchungaji?Ushindweee kwa jina la nani hii yule....eehee huyo huyo toka pepo....kwendraaaaa
Kama vile namuona Msigwa na Rwakatare - ha ha haaaaaa !!!Ushindweee kwa jina la nani hii yule....eehee huyo huyo toka pepo....kwendraaaaa
nsamaka amekataa kasema kama hakuna mwingine si lazima aone mjiUmekuja wakati mwafaka kabisa shemeji. Kuna ugomvi umefumuka humu na wewe pekee pengine ndiye utasaidia kuamulia.
Andjul anataka akupitie kesho ukamwonyeshe mji hasa anakoweza kupata maembe yale ya chumvi, pweza na mahindi ya pilipili. Mkewe naye kaja juu anataka naye ampitie Cole akamwonyeshe mji.
Nakusalimu katika Bwana
ShemejiiiiiTit for tat...Kama mbwai mbwai tu. Safi sana sis.
Naona walimaanisha Sisil sio Isis!Ukute mbunge wa jimbo la mchamba wima ni ISIS,yeye anakuwa anawatwanga na AMUN RA mwanzo mwisho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena kaa nae mbali kbs.Carba anamchanganya sana nsamaka wangu,sio kama tunagombana ila nikutahadharisha tu
Nimetoka kusema hapo juuKazi kweli kweli