Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-03-19-14-15.png
 
Ni kweli. Haya mambo ya kuanza kumjadili mtu wakati mwenyewe hayupo na hajui yana madhara yake. Ni ya kuepuka hata kama ni utani.

Coco na msimamo wake ule ni wa kufukuzwa na mtu kweli? Aliwahi kusema kuwa anataka kupunguza matumizi ya JF na sikujua kama kafukuzishwa na watu!
Yule dada ni mwelevu sana,alijitahidi kuwakwepa wengi sana walio kuwa wanamshambulia,na alikuwa anawajua vizuri.Basi, kuna watu wamezaliwa kukwamisha furaha za watu wengine,ndicho kilichotokea kwa cocochannel.Nilimuona majuzi nadhani walikuwa na Numbisa kuleeee...(Zari anavyopata faraja kutoka kwa Diamond).
 
Kweli kabisa bora kumjadili mhusika akiwepo
 
Yule dada ni mwelevu sana,alijitahidi kuwakwepa wengi sana walio kuwa wanamshambulia,na alikuwa anawajua vizuri.Basi, kuna watu wamezaliwa kukwamisha furaha za watu wengine,ndicho kilichotokea kwa cocochannel.Nilimuona majuzi nadhani walikuwa na Numbisa kuleeee...(Zari anavyopata faraja kutoka kwa Diamond).
Kwenye jukwaa la siasa mbona ni shujaa sana na asiyetetereka? Kwenye suala la Makonda alisimama kidete peke yake akapambana na umati mzima. Ndiyo maana sikuwahi kudhani eti kutokuonekana kwake katika uzi huu kumetokana na kuandamwa na baadhi ya watu.
 
Ukute mbunge wa jimbo la mchamba wima ni ISIS,yeye anakuwa anawatwanga na AMUN RA mwanzo mwisho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haturuhusu mambo ya AMUN RA wala imani yo yote bungeni. Serikali yetu haina dini. Akianza mambo ya AMUN RA kuna wabunge wachungaji si ajabu watakurupuka na kuanza kukemea. Bunge litageuka sehemu ya miujiza na kupimana nguvu za Kiungu. Hili kamwe hatutaliruhusu!
 
Back
Top Bottom