Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-03-19-18-16.png
 
Taarifa! Taarifa!

Muheshimiwa SHIMBA YA BUYENZE taratibu na kanuni zipo nazifahamu, kwanini kila hoja unaizima? Na kuiona haina tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla?
Hatutaki hoja za kichonganishi hata kama kwa nje zinaonekana zina tija kitaifa. Isitoshe bunge hili linaendeshwa kidemokrasia na kama hoja yako inapingwa na wabunge walio wengi kwa mekelele ya hapanaaaaa badala ya ndiyoooo basi inabidi uachane nayo. Wengi wape mh. Ghazwati. Ndiyo demokrasia hiyo. Ni upanga usio na upendeleo!
 
Inafaa kila mtu ajichagulie aina ya mazoezi anayoyaweza. Kupanda baiskeli, kutembea harakaharaka (jogging), kuogelea na kutembea vitambo virefu; haya yote ni mazoezi mazuri kwa afya. Kucheza gofu au tenisi ni mazoezi mepesi na hayausaidii sana mwili. Madaktari wanasema mazoezi ya mara kwa mara huwafanya watu wawe wenye furaha zaidi, kuwa macho zaidi, wasiositasita kufanya mambo na kuvichangamsha viungo vya mwili.
 
Usingizi

Kulala usingizi ni wakati ambapo mwili huwa katika mapumziko makubwa, hata kufikia mtu asiweze kujua yanayotendeka katika mazingira aliyomo. Ndiyo maana Waswahili wakasema “usingizi ni nusu ya kifo”. Usingizini mapigo ya moyo na kasi ya kupumua huenda polepole.
 
Back
Top Bottom