Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mbona mapema sana Marxist Mweusi? Kwema?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimesema kwa idhini ya...Mi simoooo [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Mida ya kupumzika, hapa kwema mkuu naona unakisongesha!!!Mbona mapema sana Marxist Mweusi? Kwema?
Hata kama ni kwa idhini mi simooo !!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimesema kwa idhini ya...
Teh teh tehKuliko kupigwa tena ameamua kubwaga manyanga!![]()
Sawa kamanda. Hata mimi hapa nipo kwa kuibia ibia.
Teh teh tehNiaje Rutashubanyuma furaha ilioje kuwa hapa Kijiji cha Likes.
Taarifa! Taarifa!Mh. Ghazwat. Ulinisingizia eti umesusa bunge kisa naliendesha kwa upendeleo. Bunge hili tukufu linaendeshwa kwa kanuni. Zisome kanuni hizo na uzifuate. Vinginevyo nitaendelea kukutimua tu kwa sababu hatuwezi kuendesha bunge kama bazaar.
Alipata support ya mwakilishi mmoja hapa, nadhani ni wa jimbo la mchamba wima[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mh. Ghazwat. Ulinisingizia eti umesusa bunge kisa naliendesha kwa upendeleo. Bunge hili tukufu linaendeshwa kwa kanuni. Zisome kanuni hizo na uzifuate. Vinginevyo nitaendelea kukutimua tu kwa sababu hatuwezi kuendesha bunge kama bazaar.
Mimi mzima,sijui wewe mzee wa kugundua,mtaalam wa kuwakimbia tembo wakikuvamia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bila shaka hujambo andjul furaha ilioje kuwa hapa Kijiji cha Likes
Wabunge wa Kiembesamaki na Mchambawima wameamua kuungana kuvuruga kanuni za bunge letu tukufu? Dawa yao inachemka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alipata support ya mwakilishi mmoja hapa, nadhani ni wa jimbo la mchamba wima[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kweli aisee. Yaani mtu unakufa huku ukijiona laivu..