Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-03-19-24-00.png
 
Kwema Muheshimiwa SHIMBA YA BUYENZE furaha ilioje kuwa hapa Kijiji cha Likes.
Mh. Ghazwat. Ulinisingizia eti umesusa bunge kisa naliendesha kwa upendeleo. Bunge hili tukufu linaendeshwa kwa kanuni. Zisome kanuni hizo na uzifuate. Vinginevyo nitaendelea kukutimua tu kwa sababu hatuwezi kuendesha bunge kama bazaar.
 
Back
Top Bottom